kuna tablet hapa operation system ni android sasa mimi mgeni kwenye mambo hayo nashindwa tumia internet kwenye moderm nikiweka line ya tigo network haisomi nikiweka ya voda network inasoma lakini haidownload. sasa nashindwa jua tatizo ni nini, wadau msaada tafadhalli,