Kutumia Browsers mbili

Kutumia Browsers mbili

Bruce Hebrews

Member
Joined
Sep 22, 2021
Posts
17
Reaction score
35
Hivi inawezekana kuview Browsers kuingia kwenye Browsers mbili kwenye PC mfano Google na FireFox bila zenyewe kuonekana kwenye Screen kwa pale Chini?

Yani I mean inawekana mtu kuview Browser nyingine kwa Siri bila kuonekana mbeleni mwa PC?
 
Hebu fafanua vizuri swali lako halijakaa vizuri. Unataka logo ya hao makampuni yanayomiliki hizo browser isionekane au unataka ukiingia kwenye hizo browser isionekane kama umetumia PC au isionekane umetumia hiyo browser tajwa?
 
Uu mwandiko huu.Sema unataka kufanya nini?Kuficha nini?au kuona nini?Ukisema hivo basi jibu litakuwa ndio inawezekana.
 
huu mwandiko wa yule alumn mkuu wa SAUT anebisha na abishe.
 
Hivi inawezekana kuview Browsers kuingia kwenye Browsers mbili kwenye PC mfano Google na FireFox bila zenyewe kuonekana kwenye Screen kwa pale Chini?

Yani I mean inawekana mtu kuview Browser nyingine kwa Siri bila kuonekana mbeleni mwa PC?
Ikiwa unamaanisha kutokuonekana kwenye taskbar, inawezekana.

Kama unatumia window 10 jaribu hivi:
Setting app > personalization > taskbar > select which icons appear on the taskbar > kisha turn off icons ambayo hutaki ionekane.
Kama sio hicho ulicho maanisha, wajuzi watakuja kukusaidia.
 
Swali lake la msingi ni hiyo paragraph ya mwisho "Ku view browser nyingine bila kuonekana mbeleni mwa PC", kwa kifupi hicho kitu hakiwezekani, unless uwe na display 2 yaani kwa mfano hiyo PC yako, uifunge tena external monitor, then uki set multiple display, utaweza kuwa na screen 1 ikaonesha let's say Google Chrome, na screen ya pili ambayo umei connect kwa VGA au HDMI ika display Firefox!
 
Back
Top Bottom