CHIEF MGALULA
JF-Expert Member
- Sep 11, 2009
- 1,190
- 889
Wakuu Naomba Ambae Anatumia Hizi Bidhaa,uzoefu Wake Na Ikiwezekana Anipe Ushauri Wa Kitaalamu
Mara ya mwisho niliulizia pale Ilala kwenye maduka ya mifugo ilikua 39,000...weka 40 kwa sasahiyo moja ina range kwenye 20 elfu na kuendelea ni nzuri maana unakuwa na kijitanki nje ya banda la kuku kwa juu kidogo ili upate msukumo wa maji then unachomeka na hizo paipu mambo yanakwenda jinsi wanavyokunywa maji na jinsi maji yanavyokwisha.....ni nzuri coz unapunguza kazi ya kwenda kuongeza maji kwa kuku lets say ulikuwa unaongeza mara mbili kwa siku ukiwa na kijitanki kikubwa kidogo unaweza ukaweka maji asubuhi mpaka kesho asubuhi.....
mi nimetaja bei ya saba saba na kuendelea kama utapita amana(dar) kuna duka pale la mifugo zipo fanya kuuliza bei si unajua hizi bidhaa pale ni buku kule ni buku jero ivyoMara ya mwisho niliulizia pale Ilala kwenye maduka ya mifugo ilikua 39,000...weka 40 kwa sasa
Nafkiri unamaanisha maduka hayohayo ya mifugo Niliyopita...adjacent na BOA bank..ndio duka linalouza vitu vya mifugo cheap zaidimi nimetaja bei ya saba saba na kuendelea kama utapita amana(dar) kuna duka pale la mifugo zipo fanya kuuliza bei si unajua hizi bidhaa pale ni buku kule ni buku jero ivyo
Kuna maduka yana bei pungufu ya hiyo 38,000 kwa Dar unielekeze?mi nimetaja bei ya saba saba na kuendelea kama utapita amana(dar) kuna duka pale la mifugo zipo fanya kuuliza bei si unajua hizi bidhaa pale ni buku kule ni buku jero ivyo