Kutumbuliwa kwa Wilson Kabwe kunafanana na kusulubiwa kwa Yesu Kristo?

Wazo la kabwela

JF-Expert Member
Feb 13, 2013
1,812
1,373
Hadithi ya Paul Makonda na Wilson Kabwe inanikumbusha kwenye bible vita kati ya daudi na goliath au kisa cha masihi Yesu Kristo na Pontio Pilato pale alipotakiwa atoe amri ya
kuteswa hadi kufa kwa asiye na hatia ila kuwanufaisha wengi.

Magu nae akawauliza wananchi nimtumbue nisimtumbue nao wakapaza sauti atumbuliweeeeee!!
Another epsode in bongopolitics.
Guess who is next?
 
Mkuu kiukweli hii ya Leo ulichokisema ndivyo ilivyo kuwa utukubusha pasaka aisee mangu apana aisee atumbuliwe ili Mali zake ziwe juu yetu
 
mwenyewe anakuambia hawezi kusubiri mpaka jipu liwe na usaha....noma sana ! wengi wataumia safari hii
 
Hadithi ya Paul Makonda na Wilson Kabwe inanikumbusha kwenye bible vita kati ya daudi na goliath au kisa cha masihi Yesu Kristo na Pontio Pilato pale alipotakiwa atoe amri ya
kuteswa hadi kufa kwa asiye na hatia ila kuwanufaisha wengi.

Magu nae akawauliza wananchi nimtumbue nisimtumbue nao wakapaza sauti atumbuliweeeeee!!
Another epsode in bongopolitics.
Guess who is next?

Mfano wako ni batili hauna mithili yake! That said; the next on the guillotine ni mwizi na fisadi mwingine wa mali ya umma kama Wilson Kabwe, taja jizi lolote; lisulibiwe. Period.
 
Hadithi ya Paul Makonda na Wilson Kabwe inanikumbusha kwenye bible vita kati ya daudi na goliath au kisa cha masihi Yesu Kristo na Pontio Pilato pale alipotakiwa atoe amri ya
kuteswa hadi kufa kwa asiye na hatia ila kuwanufaisha wengi.

Magu nae akawauliza wananchi nimtumbue nisimtumbue nao wakapaza sauti atumbuliweeeeee!!
Another epsode in bongopolitics.
Guess who is next?
Sikusikiliza hotuba yake amesema hivyo kweli? (Magu nae akawauliza wananchi nimtumbue nisimtumbue nao wakapaza sauti atumbuliweeeeee!!) sasa umekuwa mchezo mchezo tu kama kweli
 
Sio mchezo mchezo; tuhuma zimetajwa hadharani sio kama wale wa Pilato ambao walitoa tuhuma za kipuuzi eti "Yesu anajiita mtoto wa Mungu?!"; si na wao wajiite! Kabwe amecheleweshwa sana kutumbuliwa, kutoka Arusha; hadi Mbeya, Mwanza na Dar; jamaa lilikubuhu kwa ufisadi na kuchakachua chaguzi mbali mbali; at last 40 yake imefika limetumbuliwa hadharani bila ganzi!
 
Hadithi ya Paul Makonda na Wilson Kabwe inanikumbusha kwenye bible vita kati ya daudi na goliath au kisa cha masihi Yesu Kristo na Pontio Pilato pale alipotakiwa atoe amri ya
kuteswa hadi kufa kwa asiye na hatia ila kuwanufaisha wengi.

Magu nae akawauliza wananchi nimtumbue nisimtumbue nao wakapaza sauti atumbuliweeeeee!!
Another epsode in bongopolitics.
Guess who is next?
Si jambo jema kumlinganisha au kufananisha cho chotencha Kabwe.na Bwana Yesu. Kwanza Kabwe alituhumumiwa na Makonda na kisha wananchi wakaulizwa atumbuliwe au la. Yesu Kristo aliruhumiwa na wazee na makuhani. Pilato tofauti na Makonda hakuona kosa kwake na alisema wazi. Lakini alitoa hukumu isiyokuwa ya haki kuwafurahisha maadui zake Yesu. Unawezaje sasa kufanya ulinganifu huu? Kama hujui maandiko itakuwa bora kutokuyapotosha. Unaweza kimlinganisha Kabwe na Baraba na siyo Yesu. Kuwa makini.
 
Subiri wenye kiongoz wao wakiroho waje sasa maana naona kama ulinganisho wako kuna kitu unatafuta ila Mimi naona wote ni waja wa Mungu.
 
Back
Top Bottom