mwaka jana nilituma bahasha kubwa ikiwa na makaratasi kidogo. nililipa 82000 kwenda uingereza. hiyo ilikuwa ni kutuma mzigo usio wa haraka ambapo angeweza kupokea ndani ya siku tatu. kutuma kwa masaa inakuwa zaidi. kumbuka hiyo ilikuwa ni DHL. sijui kwa sasa