Kutuma mzigo Dubai

left eye

JF-Expert Member
Jun 30, 2018
207
266
Habar wakuu ninahitaj nitume Dawa Dubai je ni njia gani naweza tumia ambayo ni nafuu kwa bei ,mzigo una thaman ndogo isiozidi Tsh 30000
 
Habar wakuu ninahitaj nitume Dawa Dubai je ni njia gani naweza tumia ambayo ni nafuu kwa bei ,mzigo una thaman ndogo isiozidi Tsh 30000
Ni dawa za aina gani hizo unazo taka kutuma huko Dubai? Samahani lakini kwa hili swali iwapo hutalipenda.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Kule Dubai dawa hizi nadhani ni rahisi sana kupatikana. Kwanini wasinunue kule badala ya wewe kuwatumia toka hapa? Au wameshazitafuta kule wakazikosa?
Ipo ya wanawake ni Dawa ya kuondoa michirizi na makovu na IPO ya masala ya uzazi ya wanaume
 
Gharama za kutuma nje ni kubwa kwa kweli na usishangae Kama zitazidi thamani ya hizo dawa, lakini kama kule hazipatikani basi hakuna jinsi bali ni kuzituma tu.
Bei zake huwa zikoje naskia ni gharama sana kifurushi kidogo
 
Bei zake huwa zikoje naskia ni gharama sana kifurushi kidogo
Si mkuu uende ukaulizie kwenye ofisi zao? Au uko vijijini? Lakini hata hivyo unaweza ku-Google namba zao za simu ukaulizia! Mbona mnapendaga kutuchosha hivyo mkuu?
 
Kule Dubai dawa hizi nadhani ni rahisi sana kupatikana. Kwanini wasinunue kule badala ya wewe kuwatumia toka hapa? Au wameshazitafuta kule wakazikosa?
Tatizo sio Dawa kupatikana kule tatizo ni nan anakupa io Dawa ,ntaangalia gharama zao
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Hapo ni nani anakupa hiyo dawa sijaelewa. Kuna masharti ya nani akupe hizo dawa? Hebu fafanua kama utaweza.
Tatizo sio Dawa kupatikana kule tatizo ni nan anakupa io Dawa ,ntaangalia gharama zao
 
Back
Top Bottom