Si ungeenda Dhl tuHabar wakuu ninahitaj nitume Dawa Dubai je ni njia gani naweza tumia ambayo ni nafuu kwa bei ,mzigo una thaman ndogo isiozidi Tsh 30000
Ni dawa za aina gani hizo unazo taka kutuma huko Dubai? Samahani lakini kwa hili swali iwapo hutalipenda.Habar wakuu ninahitaj nitume Dawa Dubai je ni njia gani naweza tumia ambayo ni nafuu kwa bei ,mzigo una thaman ndogo isiozidi Tsh 30000
Ipo ya wanawake ni Dawa ya kuondoa michirizi na makovu na IPO ya masala ya uzazi ya wanaumeNi dawa za aina gani hizo unazo taka kutuma huko Dubai? Samahani lakini kwa hili swali iwapo hutalipenda.
Bei zake huwa zikoje naskia ni gharama sana kifurushi kidogoSi ungeenda Dhl tu
Ipo ya wanawake ni Dawa ya kuondoa michirizi na makovu na IPO ya masala ya uzazi ya wanaume
Kama unaenda kutuma dawa mitishamba bora ukawaone wakueleze utaratibu waoBei zake huwa zikoje naskia ni gharama sana kifurushi kidogo
Bei zake huwa zikoje naskia ni gharama sana kifurushi kidogo
Si mkuu uende ukaulizie kwenye ofisi zao? Au uko vijijini? Lakini hata hivyo unaweza ku-Google namba zao za simu ukaulizia! Mbona mnapendaga kutuchosha hivyo mkuu?Bei zake huwa zikoje naskia ni gharama sana kifurushi kidogo
Airwing sehem gan mkuuKama unaenda kutuma dawa mitishamba bora ukawaone wakueleze utaratibu wao
Wako pake airwing kama sijasahau
Tatizo sio Dawa kupatikana kule tatizo ni nan anakupa io Dawa ,ntaangalia gharama zaoKule Dubai dawa hizi nadhani ni rahisi sana kupatikana. Kwanini wasinunue kule badala ya wewe kuwatumia toka hapa? Au wameshazitafuta kule wakazikosa?
Tatizo sio Dawa kupatikana kule tatizo ni nan anakupa io Dawa ,ntaangalia gharama zao
AirportAirwing sehem gan mkuu
ShukranAirport