Nilikuwa nahitaji mwenye ujuzi, uzoefu wa kutuma mizigo worldwide aniambie ni wapi naweza kutuma mzigo wangu kwenda Mombasa Kenya kwa uhakika zaidi na gharama nafuu, ahsanteni
Habarini,