Kutransfer boom

Kutransfer boom

MISAPE

Member
Joined
Nov 28, 2012
Posts
68
Reaction score
34
Habari jf,
naomba mwenye kufahamu hatua za kufuata ili nihamishe boom langu kutoka chuo nilichochaguliwa mwanzo kwenda chuo nilichotransfer
 
Boom c linakufata chuo ulipo....majina yatakuja mtasign chuoni huko huko

boom litakufuata chuoni endapo ulichaguliwa ktk hicho chuo na hukuhama kwani system ya heslb inakutambua kuwa upo ktk chuo ulichochaguliwa lakini kama ukihama chuo inabidi taarifa zako zihamishwe kutoka chuo kimoja kwenda chuo ulichohamia na ukumbuke TCU & HESLB wapo tofauti maana anayekupangia chuo ni TCU lakini pesa ya boom inatoka HESLB sasa kama ukizembea kufuatilia ofisi za bodi ili kujua itakuaje unaweza kukaa hata miezi 6 hujaona boom hata mwaka huwa unapita UNACHOTAKIWA NI KUFUATILIA KWA NGUVU ZOTE ILI TAARIFA ZAKO ZIHAMISHWE KWA HARAKA ILI PESA YAKO YA ADA NA BOOM IKUFIKIE ULIPO
 
mi nataka nipate boom ili niongezee kwny ada je inawezekana...mana tuition fee sijapata
 
Back
Top Bottom