Huna tatizo wewe ni wasiwasi tu. SIYO LAZIMA uume usimame asubuhi!, Pili wakati mwingine uume unasimama wenyewe wakati ukiwa umelala bila wewe kujijua, Tatu Frequency ya Uume kusimama wenyewe bila sababu za msingi hupungua kadri umri unavyokwenda, Ukiwa Kijana aliyebalehe kitendo cha kuona goti la mwanamke tu kinaweza kukupelekea kudinda, wakati ukifikisha miaka 30 unaweza kuwa na mwanamke chumbani yuko na chupi tupu na usidinde mpaka muanze Romansi, na hata hiyo Romansi inaweza isitoshe vilevile mpaka unyonywe mashine. Kwa hiyo kijana tulia, jiamini kuwa uko fiti, fanya mazoezi, pumzisha akili na kula vizuri ( vitu vya asili)