Msaada jamani mwenzenu naweza maliza ata wiki /mwezi uume wangu hausimami,nini tatizo?
Pole, nenda hospital upesi sana ukapimwe ili kujua una tatizo gani ktk mwili wako,Msaada jamani mwenzenu naweza maliza ata wiki /mwezi uume wangu hausimami,nini tatizo?
Nilitania tuu mkuu! Stay with pure heart and enjoy yo weekendSi vyema kumkebehi mwenzio,kumbuka hujafa hujaumbika
Umli uko vipi?Kama uko Dsm ni sawa na kawaida tu, kwani vijana hupenda vilaini kuliko maelezo.
Any way iko hivi kama awali ulikuwa poa, hakikisha hautumii booster ya aina yeyote ile maana ndiyo utajimaliza kabisaa.
Jaribu badili vyakula kwa kupunguza shoprite foods & drinks too much kwa kupunguza kemikali nyingi mwilini ambazo ni haribifu,chipsi mayai, kuku wa kisasa na vyakula vyenye mafuta sana na ule vyakula vya asili kwa wingi.
Pata muda wa kutosha kumpumzika, kupunguza msongo wa mawazo, fanya mazoezi n.k.
Okay, kiukweli hili ni janga kubwa ambalo linakuja kwa kasi kwa Taifa na Dunia nzima hasa kwa nchi zinazo endelea kama Tz, kwa sababu ya poor Diet kwani mtu anadhani kula Roasts, chipsi ni Mlo Kamili kumbe siyo anajimaliza.
La msingi pia Hakikisha unaenda kupima kisukari, presha n.k. maana yote pia husababisha.
Ameshasema kuwa wiki nzima uume wake haujasimama/hausimami,Hiyo haitakiwi.
Uume unatakiwa kila asubuhi unyanyuke, na kwa kawaida ukiwa umekaa hufanyi chochote labda umetulia, uume mara nyingi unastuka.
Sasa nashangaa unaponiambia wiki nzima, kitu hakinyanyuki.
Nafikiri utakuwa na matatizo ya kiafya kiasi fulani.
Hebu nikuuklize swali kabla ya kuendelea:-
Unapoenda haja kubwa Uume wako hausimami?
Ndio maana nimemuuliza/nilimuuliza swali hilo, pengine akili yake haikufikiria muda wa haja kubwa.Ameshasema kuwa wiki nzima uume wake haujasimama/hausimami,