Kutorokwa na mpenzi

zsimwa

New Member
Joined
Apr 21, 2014
Posts
1
Reaction score
0
Bibi yangu amenitoroka. Nimejaribu njia zote kumpembeleza arudi amekataa. Ni njia gani ya uchawi nitatumia arudi?
 
Mpenzi = Bibi?

Wanakuja, labda uweke maelezo ya kueleweka.
 
Jina unalomwita halina mvuto amekwenda kwa wanaojua ita kimahaba. Wee "bibi" na mapenzi wapi na wapi.
 
Wakenya ndo wanaita mwanamke bibi
 
Uchawi tena??? Nan kakuambia mapenzi ya ndumba yanadumu
 
Bibi yangu amenitoroka. Nimejaribu njia zote kumpembeleza arudi amekataa. Ni njia gani ya uchawi nitatumia arudi?

Obviously atakuwa amekimbilia kwa babu yako....uchawi wa kutumia geuza ngano kuwa ugolo then mpelekee taarifa kuwa una supply ya kutosha ya ugolo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…