Kutokutahiriwa kumeniponza

Kutokutahiriwa kumeniponza

okonkwo jr

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2015
Posts
2,419
Reaction score
1,739
Jambo wana JF,

Kitu iliyonitokea leo hakika umenivuruga kisaikolojia, nilikutana na binti fulani maeneo ya kumbi za starehe,bila ajizi wa hiana nikaamua kutupa ndoano,kama vile nilikuwa nimechelewa msichana kaitikia pasipo shida.

Unajua tena sisi akina Raila Odinga huwa ni wagumu sana kutahiri, ile tunaingia geust house kupeana malove msichana si kashika dushe kutaka kulinyonya bwana weee!

Ile kukuta sijataahiriwa msichana si kagoma kugegedwa na kuamua kuondoka na kuniacha na maswali mengi kichwani.
 
Hivi jamani kitu ambacho ulizaliwa nacho na ni natural kabisa, kinaweza kikawa kinakunyima raha kiasi hiki, sweta sio killema ni kitu kila mwanaume amezaliwa nacho. Hivi mtoto gani wa kiume angeonekana wa kawaida angezaliwa bila sweta. Mama gani au baba gani utashangilia ukikuta mtoto wako kazaliwa bila sweta? kwa nini inakuwa issue pale mtu anapoamua kubaki nalo.
 
Mkuu bado hujacherewa kaukate haraka sana.
Halafu si vizuri kufanya zinaa.kisha hujutii unakuja kuomba msaada.

Note
Umeshajua chanzo cha tatizo unaomba msaada Wa nini.au unataka watu wajue unagovi.
 
Mkuu bado hujacherewa kaukate haraka sana.
Halafu si vizuri kufanya zinaa.kisha hujutii unakuja kuomba msaada.

Note
Umeshajua chanzo cha tatizo unaomba msaada Wa nini.au unataka watu wajue unagovi.

Poa mkuu!
 
Back
Top Bottom