Kutoka nje ya ndoa

Watoto wengine bwana, mambo ya watu wazima waachieni wenyewe hayawahusu kabisa.
 

hakika umenena wadada ndio wanaoongoza kutoa siri za ndani ya ndoa nje na hatimaye kutongozwa na kuliwa kwa kujifanya wanataka relief...ni kweli kabisa nina mfano hao na hasa akitoa siri hizo kwa mwanamke mwenzake basi ujue kesho atamleta mwanamme wa kumliwaza.
 

enheeee!
hii ndo ilibidi iwe heading
"KWA NINI WANAWAKE WANAONGOZA KUTOKA NJE YA NDOA!"
halafu magreat tuteme points!
 
 
Last edited by a moderator:
then jamii itakuita m,ala,aya. mwanamke lazima uolewe ili uheshimiwe.... lol

Ni bora kuolewa na kuwa mala.y.a ndani ya ndoa refer...(figa moja haliivishi chakula) au kutokuolewa kabisa???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…