Wadau naomba kujua,hivi
ITV wanajua idadi ya Watanzania wanaoweza kununua magazeti? Habari zao
wanabipu tu kisha wanasema habari zaidi ni ukurasa wa 4 kana kwamba
magazeti yanawafikia wananchi wote. Tupeni walau habari chache lakini
kwa kina acheni kudonoadonoa. Jifunzeni kutoka RFA etc!