Kutoka Library

Usmart enzi zile!
Kwa sababu ya kazi nyingi za nyumbani na kutumwatumwa ovyo,hiyo kazi ya kuweka
design kwenye sare ya shule inafanyika usiku wakati wote wameshalala.
 
Na hapo chini jamaa katupia soksi zile za mistari ya pundamilia...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…