Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,054
- 23,505
LIVE KUTOKA UKUMBI WA KARIMJEE UCHAGUZI MEYA WA JIJI LA DSM
Hadi sasa wajumbe wa UKAWA wamekamilisha usajili kwa ajili ya uchaguzi wa leo.
Wajumbe wa CCM hawajafika ukumbini na haijulikani kama watafika kushiriki uchaguzi ama wametia mpira kwapani.