Kutoka Dodoma!!

maliyamungu

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2011
Posts
564
Reaction score
419
Ni kweli akili za wana magamba100 ni sawa na mbuzi 4 !! Mimi binafsi nikimkuta mtu wa magamba kadondokewa na mti nachukua jiwe naliweka juu.. Nipo Dodoma hoteli jamaa wa magamba wanakula bata yani Ma wine jd bia cheep ni Heineken but wabunge wa chadema wapo Sita wanapiga meeting... Aisee kwa bata zao hata posho ya laki 8 ni ndogo mungu bariki Tanzania.
 

Tutajie ni nani na nani hao tuwajadili hapa haraka.
 
Unafkiri ni kweli zile posho hazitoshi!!?? Kinachowasumbua ni kwamba wengi wao hawana uhakika wa kurudi tena bungeni hivyo wanataka kuchukua chao mapema. Mtu kama Lusinde unafkiri anaweza tena kurudi bungeni kwa busara zile alizonazo? Labda kama na wapigakura wake nao wana busara kama yeye!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…