Muda Mfupi uliopita Waziri Mkuu Mheshimiwa Mizengo Pinda kamaliza mazungumzo na Waandihi wa Habari wa Vyombo mbalimbali na kusisitiza kuwa Taarifa kamili kuhusu Mawaziri wanaodaiwa kujiuzuru atazitoa rasmi Jumatatu atakapokuwa akiahirisha kikao cha Bunge.
Maswali ni mengi kwa kila nayeisikia kauli hii:
- Nini kimejitokeza hapa
- Kuna aliyezuia maamuzi haya yasipate baraka?
- PM kashikwa na kigugumizi gani?
- Mbona kila jambo katika kiako cha jana yalishafahamika mpaka maazimio?
- Kikao cha leo kilikuwa na Agenda gani?
- Ni kweli anasubiri baraka za Rais?
- Ilikuwa sanaa?
- Au ni mchezo gani unataka kufanyika hapa?
- Kwa nini Spika kaahirisha Bunge bila kuusoma Muongozo uliohusu ufafanuzi wa Serikali juu ya suala hili?
- Kwa nini wameiacha nchi katika sintofahamu kiasi hiki?
Ahadi yake ni Jumatatu
Game limeishia hapo kwa leo, Ila TUPO Dodoma na hakuna cha Mnadani wikiendi hii ni kona hadi kona hata kama yatakuwa maamuzi ya kushtukiza kama jana USIKU ghafla wakaghairi kuwapa niuz wanahabari. WE ARE MONITORING
Tunaendelea kusubiri
ADIOS
Kwani leo jioni hamna bunge au ndio mpaka j,3?
Baraza lote la mawaziri livunjwe tu JK ajipange upya atafute damu changa,atuondolee vizee vilafi na mafisadi
Ningekuwa naambiwa mm LAZIMA ningepigana au ningepigwa ban humu jamvini, ban la nne tokea niingie rasmi JF 2009!haha pole kijana, watu wapo mnadani wanakula nyama ya mbuzi yenye kuwekwa nyongo. Nzuri zaidi wapo na mwanao wakike au dadako wakimuwezesha kwani boom lishakata. Hongera kwa kupata mkwe/shemeji gamba/gwanda
Mbowe anawahamsisha watanzania wote viongozi wa Dini, vyama vya siasa na wadau wote katika mchakato wa katiba kuifikiria kwa kina Hoja ya Serikali za Majimbo na DECENTRALIZATION ndio utakuwa ufumbuzi wa matatizo haya ya watanzania, hata kama mabadiliko ya mawaziri yatafanyika bila kubadili mfumo huu ambao CDM imeshatoa mwelekeo katika sera yake ya MAJIMBO hakuna mabadiliko yatakayotokea
MBOWE KAHITIMISHA
KANGE LOGOLA NDEGE anazungumza
Spika Makinda to Mbowe "una bahati Jambazi lako limekuwahi kuomba mwongozo sivyo ungekosa nafasi" Mnyika aliomba mwongozo kabla ya Mbowe kuongea
GHOST RYDER!
Asante sana mkuu kwa kazi nzuri uliyojitolea kutuhabarisha muda wote wa tukio hili na hayo mengine yatakayojiri.
Shukrani Mkuu!