Zapa RadioFm
Senior Member
- Feb 12, 2016
- 112
- 171
Niliisoma hii jana kwenye The Citizen kama habari ya ndani..
Leo wameirudia Mwananchi kama stori kuu!
Kwamba wamefanya utafiti wakamlinganisha Rais Magufuli na Raia Edward Lowassa ikaonekana Magufuli ameongeza kura zake. Kura zipi wakati halisi hazijulikani..?
Sasa tushangae..
Unamlinganishaje mtu ambaye hata kushukuru wananchi wake ameuziwa na unayemlinganishia ana mamlaka yote, kila siku kwenye media kafukuza huyu, kapandisha yule n.k..
Vigezo vya ulinganifu ni vipi hasa maana hawafanani zaidi ya kuwahi kugombea Urais ?