Nani James
Member
- May 25, 2016
- 82
- 27
nausa dawa aje nimpe dawa sa kuondoa mikosiwakuu ,,Habarini .naombeni mnijuze kuhusiana na hawa TCU kuna mdogo angu alifanikiwa kupita katika round ya kwanza na akaambiwa asubiri confimation ya chuo lakini vyuo vyote alivyo jaza hajachaguliwa,,hapo inakuwaje wakuu
amejaza vyuo gan tumsaidie kuangalia tena!!wakuu ,,Habarini .naombeni mnijuze kuhusiana na hawa TCU kuna mdogo angu alifanikiwa kupita katika round ya kwanza na akaambiwa asubiri confimation ya chuo lakini vyuo vyote alivyo jaza hajachaguliwa,,hapo inakuwaje wakuu
Vyuo bado vyote hawajatoa majina
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nausa dawa wewe.nausa dawa aje nimpe dawa sa kuondoa mikosi
asubiri second batch,haraka za nini?wakuu ,,Habarini .naombeni mnijuze kuhusiana na hawa TCU kuna mdogo angu alifanikiwa kupita katika round ya kwanza na akaambiwa asubiri confimation ya chuo lakini vyuo vyote alivyo jaza hajachaguliwa,,hapo inakuwaje wakuu
Oukey awe na subra coz bado saut hawajatoa campus zote !!wametoa ya arusha tuu!!asiwe na wasudism,mkwawa,sauti mbeya na Ruco vyote bachelar of art with education kasoro mkwa ni IN education jina anaitwa SIMKOKO Frodester Ezra