vya wizi vibaya jamani,yaani hapo hadi mwenyewe akukamate,tatizo la iPhone,details za simu zao wanazisave kwenye saver yao,kwa hiyo hata ukiitoa bado mwenyewe ataweza ku detect simu ilipo,(hasa kama alii back up kwa iCloud)ila kuitoa duh ni kama haiwezekani vile.