Kutoa phone track ya iphone.

manuu

JF-Expert Member
Apr 23, 2009
4,064
10,722
Msaada jinsi ya kuondoa phone track kwenye simu aina ya IPHONE.
 
vya wizi vibaya jamani,yaani hapo hadi mwenyewe akukamate,tatizo la iPhone,details za simu zao wanazisave kwenye saver yao,kwa hiyo hata ukiitoa bado mwenyewe ataweza ku detect simu ilipo,(hasa kama alii back up kwa iCloud)ila kuitoa duh ni kama haiwezekani vile.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom