Ulilipia Tanroad?Manispaa ya Ubungo wameng'oa mabango mbalimbali barabarani huku wakiacha mwngine yakiwepo. Hakuna taarifa yoyote iliyotolewa ya kuondolewa kwa mabango hayo lakini ghafla tunakuta yameondolewa. Mimi bango langu la kanisa limeondolewa bila taarifa. Nipo Goba (Kulangwa Six). Yeyote anayejua yalikopelekwa anisaidie. Kwenye mabango kuna namba za simu. Mbona hawakutupatia taarifa yoyote? 0769-080-629
Dogo una gia za ajabu za kumuaproach Lucas's sweetheart.Hadi la Yanga SC limetolewa? Cc ephen_
Wewe ndiyo msaidizi wa lile kanisa la kiboko ya wachawi!, yule boss wako kamwaga vumbi mwambie tunamsaka.Manispaa ya Ubungo wameng'oa mabango mbalimbali barabarani huku wakiacha mwngine yakiwepo. Hakuna taarifa yoyote iliyotolewa ya kuondolewa kwa mabango hayo lakini ghafla tunakuta yameondolewa. Mimi bango langu la kanisa limeondolewa bila taarifa. Nipo Goba (Kulangwa Six). Yeyote anayejua yalikopelekwa anisaidie. Kwenye mabango kuna namba za simu. Mbona hawakutupatia taarifa yoyote? 0769-080-629
Wewe muache ajichanganye kwa ephen aone nitakavyo mtembezea kichapo cha mbwa mwizi. Kwa ephen ndipo moyo wangu ulipo hapo.kwa hiyo kucheza na ephen ni sawa na kucheza na hisia zangu. Nitapiga mtu na hakutakuwa na kesi.maana nitakuwa najilinda zidi ya mali yangu jambo ambalo linakubalika kisheria