duh umenikumbusha kitu juzi kuna mtu katangaza nia ya kugombea udiwani kwenye mechi ya Brazil kwenye big screen ya mtaani kwetuwatu wacha wa mzomee yule mdingi mpk akaingia mtini alivizia half time wakati wa matangazo ya biashara, mwenyewe alikuja na mkewe kutangaza nia