Ok nashukuru mkuu nimekupata vipi kuhusu kuwatumia ela awa jamaa baada ya kufungua account ya PayPal na kuwa na kiasi fulani kwenye account yangu ya PayPal nafanyaje?
Pia kuna issue umezungumzia "platinum content writer inahusiana vp na kutransfer pesa kutoka PayPal kuwapelekea awa jamaa ili wanipe pesa