Kutoa hela PayPal na Amazon gift cards

Hela inatoka kwenye card inarudi mpesa, which means mtu anaweza ku withdraw kama kawaida

Check option number 2View attachment 1613595
Mkuu, hakuna kitu kama hicho. Huwezi withdraw pesa from paypal to Mpesa Mastercard.
Yani labda hujaelewa kitu, ni kwamba huwezi toa pesa paypal ikaingia kwenye master card ya mpesa sasa huko mpesa itafikaje.
 
Naongelea kutoka mpesa master card mpaka kuwithdraw. Singumzii mawsala ya paypal
 
Naongelea kutoka mpesa master card mpaka kuwithdraw. Singumzii mawsala ya paypal
Ushawahi kujaribu au ulisikia pia? Hebu tupe hiyo process step by step? Ni kitu kisichowezekana mkuu ingekuwa inawezekana hata mastercard na visa card za benki nyingine zingekuwa zinakubali.
Master card ya mpesa zinatolewa na Banc ABC, ambao hata nao uwe na master card yao bado huwezi kufanya hicho unachosema.
Hili siyo suala la bank, ni policy za BOT na si tanzania pekee, hata Malawi, Uganda na nchi nyingine nyingi tu unaweza lipia na kuwarefunded, lakini si kupokea malipo.
Kama ulifanya malipo ukawa refunded ela yako itarudi kwenye kadi au bank yako lakini si pesa ya kutumiwa.
 
Yaaan Mpesa Mastercard ku link kwenye PayPal iwe inatuma na kutoa pesa?
Hapana, yaani hela ikiwa mastercard ya mpesa unaweza kuitoa. Kutoka paypal kuja kwenye card ndio sifahamu
 
Acha ubishi. Mimi nililipia mzigo kwa mastercad ya mpesa haukufika, then wakanirudishia hela na nikaitoa
Option ya pili hiyo angalia
 
Acha ubishi. Mimi nililipia mzigo kwa mastercad ya mpesa haukufika, then wakanirudishia hela na nikaitoa
Option ya pili hiyo angaliaView attachment 1613699
Kumbe unaongea jambo usililolijua.
Hiyo inaitwa refund, ukilipa kwa njia yoyote mzigo usifike au litokee tatizo wanarudisha pesa kwenye hiyo njia uliyotumia kulipa. Inaitwa kurefund siyo kuwithdraw pesa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kwahiyo wakisha kurefund then what?
Pesa unaitoa na unaitumia kwa mambo mengine.

Option ya pili ile huioni?
 
Mpesa master card haitoi pesa bali inaweka pesa kwa ajili ya kufanya malipo basi...
Unaweza kuhamisha pesa kutoka kwenye M-pesa MasterCard kwenda kwenye M-pesa yako Kiongozi and vice versa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kwahiyo wakisha kurefund then what?
Pesa unaitoa na unaitumia kwa mambo mengine.
Acha ubishi usiyokuwa na maana, hiyo pesa ni wewe uliyeiweka mpesa ukalipia paypal, paypal uwa hawaachii pesa kwenda kwa muuzaji mpaka mnunuzi aconfirm kupata mzigo, ikitokea tatizo hiyohiyo pesa wanairudsha kwenye hiyo master card yako, na mpesa wana option ya kutoa pesa uliyokuwa umeweka kwenye master card yako.
Hapa tunazungumzia pesa uliyotumiwa kuja paypal. Tofautisha mambo hayo mawili. Kuwa refunded unarudishiwa pesa yako wewe mwenyewe siyo kutoka wa mtu mwingine.
 
Unaweza kuhamisha pesa kutoka kwenye M-pesa MasterCard kwenda kwenye M-pesa yako Kiongozi and vice versa.
Hakuna asiyejua hilo, tunaongelea kuwithdraw pesa kutoka paypal to master card. Hakuna nisilojua yani njia karibu zote za kupokea ela nazitumia kila wee kuanzia, payoneer, youwave, paypal, world remit,. Huwezi kuhamisha pesa kuja mpesa master card toka paypal.
 
Kuna jamaa alidai inakubali, ngoja nicheck uzi wake halafu nikujulishe.
 
Kuna jamaa alidai inakubali, ngoja nicheck uzi wake halafu nikujulishe.
Haikubali maana hata kwenye menu ya paypal haipo hiyo option hata kama kuihamisha utaihamishaje.
 
Sasa kama nimefungua account kwa kwa majina yangu ila namba na location details nikaumba nikaweka za Kenya, je watahitaji niwape kitambulisho/ID ya TZ au Kenya
Hana noma ili mradi umpe kitambulisho chenye majina sawa na ile akauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…