Kutoa bao nje ukiwa kwenye mechi (6x6)

kama unaogopa tumia ndomu mkuu.Kwanza inaletaga usumbufu katikati uchomoe dahh.Madhara ni kwamba utakuwa umejikojolea mwenyewe badala ya kumkojolea mtu.
Hivi hili neno kukojoa ndo mahala pake kweli. Waweza kukojoa huku ukifanya mavituz kweli...? Duh...! Basi www utakua mtu hatari sana. Mie nshajaribu nilipoingia kwenye hii sayari ya mapenzi lakini mpaka leo haijawezekana hii ki2
 
hakyanani mimi nikifanya hivyo kiu haikatiki kabisa naweza kwenda paka raund 10 bila kiu kukata.
 
ha ha ha....thanks Malova kwa msamiati mpya....."wazungu = sperms"
 
Last edited by a moderator:
hata mimi natumia njia hii lakini kuna kitu ambacho ningehitaji ufumbuzi, kwa mfano baada ya mechi kuanza na nataka kupiga bao nikachomoa na kupiga bao nje; na nataka kuendelea na mechi je, nikiingia tena kwenye mechi hakuna uwezekano wa sprem kuwa zilibaki kwenye urethra na zikasababisha mimba? kwa kutofahamu huwa naamua kuikamua machine kabla sijaendelea na mechi nyingine ili kuhakikisha sprem hazibaki kwenye urethra na kusababisha mimba; je, hii ina madhara gani?

Same here. Natumiaga njia hii for very long now with ma g friend. Na naosha kama usemavyo. Hajawahi pata mimba.
 
Ni njia nzuri ya mpango wa uzazi lakini kizazi cha sasa ni matatizo maana wengi kimoja tu basi na hawawezi kuendelea na bao la pili
Na inaaminika kuwa bao la kwanza na la pili ndo lenye kubeba uhai/mbegu zenye uwezo wa kurutubisha na mabao mengine nihewa tu na hakuna cha mbegu na kama ukitaka njia hii hakikisha unapomaliza jisafishe vya kutosha na usiingie haraka kutafutia bao la pili ukiwa ndani maana mbegu ambazo zilibaki ndani katika awamu ya kwanza zinaweza kuleta madhara na hatimaye mkeo/mpenzi wako kupata mimba. Vuta hisia/ chezeni kwa muda ukiwa nje na baada ya muda na maji yatatoka na jisafishe ndipo uingie maana yake kilichokuwa kiko njianikimetoka na toa kama kawaida pale unapomwaga mwaga nje ili kuondoa uwezekano wa kupata mimba
NB 1 Bao la tatu katika mfululizo na si ulale mpaka asubuhi au karibu na alifajiri ndo useme la tatu kwa vile ulianza nae usiku hapana, kama uliacha dakika 45 na si yule mwenye ugonjwa/yule wa kimoja mpaka muda basi inahesabika kuwa ni bao jipya na si lapili au la tatu. Kama wewe ni mtu wa kimoja na kusubiri muda mrefu basi mabao yako yote ni hatari na yanaweza kusababisha kutunga mimba.
NB 2 Njia hii si salama kama njia zingine za asili kama wewe ni mzinifu/wafanya zinaa na watoto/wanafunzi njia hii inauwezekano mkubwa wa kumpa mwanamke ujauzito ni bora kuacha ama kufanya na mkeo au usubiri mpaka uoe ndipo ufanye mjaribio na mkeo kutumia njia hii! Maana kama husikii basi utakimbia familia, utakimbia biashara yako,utahama mji,mkoa,wilaya kisa kufanya mapenzi na wanafunzi, au mwanafunzi kuachishwa shule kisa ujauzito au mwanafunzi kufukuzwa kwa kumpa mwenzie ujauzito!
 
Watu wengine bwana, Ovyooooooooo!!!!! kama huna jibu siunyamaze????, mtoa mada kauliza swali ni vema kupata majibu kwa kuwa na huhakika ndoa nyingi, wapenzi wengi wale wanaoaminiana wanatumia njia hii.
 
Back
Top Bottom