Kutoa 400k mpesa = 7200

Kutoa 400k mpesa = 7200

Chagga King

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2011
Posts
1,928
Reaction score
1,164
Kiukweli sijalazimishwa kuitumia kutumua hii huduma, lakini huduma hii Ni ya kinyonyaji Sana.

natambua umuhimu wa huduma hii, lakini gharama wanazochaji Ni kubwa mno ukilinganisha na kiwango cha fedha kinachotolewa, nimekuwa nikitumia benki kwa muda mrefu kwa ajili ya masuala ya kifedha, gharama wanazochaji Ni ndogo Sana, mfano kutoa fedha crdb kwa Mara 1 Ni sawa na tzs 700, tena ile ikiwa kama benki iliyisajiliwa kisheria na BOT.
PIA imelipa bima ya 5b, inatoa huduma kwa gharama nafuu zaidi.

cha kusikitisha hizi kampuni za simu ambazo zimesajiliwa kutoa huduma za mawasiliano chini ya TCRA, kwa madai kuwa "service zao Ni reliable" wakati Kila sila siku tunaambiwa mtandao wa m fedha haupatikani, sasa hiyo reliability sijui ipo kwenye nini, au Ni vile natembea na simu yangu na siyo ATM.

cha kushangaza kingine Ni kwamba hizi huduma za mpesa unaambiwa sasa zinapatikana hata kwenye ATMs mbalimbali, kiukweli hii imenishangaza na nashindwa kuelewa tofauti Kati ya mawasiliano na huduma za kibenki,

hata kwa akili ya kawaida mtu anaweza tambua kuwa hizi Ni taasisi mbili toauti zinazoendeshea na sheria mbili tofauti, yaani TCRA Act na BOT Act.

swali langu iweje zifanye kazi ya aina moja?, na kwa vifungu vipi??

tena mbaya zaidi kwa unyonyaji wa hali ya huu...TCRA, na BOT mpo wapi? Au na nyinyi mna 10% Ku authorize mambo kinyume na sheria?.

nimekuwa nikijaribu Sana kukwepa hizi huduma za m fwedha, maana huwa nikitumiwa hela kwa m fwedha, naihamisha thru simbanking, then naenda kuitolea via ATM kwa gharama nafuu Mara kumi ya ile ya M fwedha,

kinachonisikitisha ni vyombo husika vimekaa kimya, wakati huku mtanzania akinyonywa ki style, hii haina tofauti na Yale ya TCRA na Startimes.

my take, hii TCRA iangaliwe, ma benki msiwe vibaraka, wenye nguvu kiserikali humu JF, do something jamani.
 
Nipo lumuma crdb iliyokaribu nauli ya kwenda na kurudi 20, foleni, muda n.k.
 
Sawa, lakini still hizo gharama siyo reasonable, kwani hakuna taasisi za Ku regulate hizo undertakings, TIC kazi Yao nini.

PIA embu karibu kufikiri, mtu akiwa anatoa amount kubwa inakuwaje,

kitu kingine hizo huduma siyo reliable kama mnavyosema ukilinganisha na gharama za kutoa.

alafu Ni kwanini sisi WA tz huwa tunapenda kukubali Kila kitu, naomba wachumi waje
 
Mkuu na service charge ya CRDB kwa mimi mwenye elfu tatu baada ya miezi kumi nakuwa na 0
 
It have many money it pay many more money. it not know simple principle ???? waiting tomorrow crdb is open and you pay few money.
 
It have many money it pay many more money. it not know simple principle ???? waiting tomorrow crdb is open and you pay few money.

there is something wrong with you even if your looking for unique identity!
 
Tumia mitandao ya simu for fast access of banking
Kama unaina gharama sana nenda bank hujakatazwa
Umaskini wako isiwe kikwazo kwa wengine Kufanya biashara. Huna hela Piga kimya.
Serikali yako inakuwezesheni wewe na bibi na Babu zetu vijijini kusikokuwa na bank kupata huduma....upoooooo?
 
Tumia mitandao ya simu for fast access of banking
Kama unaina gharama sana nenda bank hujakatazwa
Umaskini wako isiwe kikwazo kwa wengine Kufanya biashara. Huna hela Piga kimya.
Serikali yako inakuwezesheni wewe na bibi na Babu zetu vijijini kusikokuwa na bank kupata huduma....upoooooo?

ACHA KEJELI MKUU!! Una maneno ya Dharau utadhani umezaliwa na Hela wakati mwenzangu na Mimi ! Kwaiyo wewe huwezi tetea jamii yako kiujumla unajiangalia wewe tu na mfuko wako?

Next time usitoe hoja kipumbavu hivi..
INFACT: It's like Ume Post ukiwa busy chooni huku akili na macho yako yamelenga tundu la choo.
Wake Up!!!!!
 
Back
Top Bottom