Kutinda Nyusi . . .

Kongosho

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2011
Posts
35,987
Reaction score
24,226
Kama kichwa cha miguu kinavyojieleza.

Sijawahi tinda nyusi, ila kutokana na evolution ninayopitia nataka nianze kutinda. Nasikia ukitinda kwa wembe jicho linakomaa na kutinda kwa uzi inauma kama nini.
Kuna wengine wanatinda kwa twiza(matamshi sio maandishi) haiumi sana na ni nzuri, ni wapi wanatoa huduma hiyo?

Afu mods, tuwekeeni basi ki sub-sub-sub forum cha urembo? Najua fani imevamiwa.

cc snowhite King'asti watu8
 
Last edited by a moderator:
Lol zile nyanga nyingine Konnie...ingekuwa mavazi mbona ningekushushia nondo hapa sasa hivi

Siku ile unamwekea Preta mishono? Nikajua kumbe unafuatilia haya mambo ka mbali with details.
 
Last edited by a moderator:
Kwani mtindaji na mtindwaji wanapotindana hutindana kwa vigezo vya lazima wawe wa jinsia moja , ndiyo watindane?
Eti Kongosho?
 
Last edited by a moderator:

Ushauri wangu.. Kwa hiyo style ya picha unayotaka hapo angalia jicho lako na space kati ya nyusi na jicho..kama space ni kubwa hiyo style itakubali kama ni ndogo haiwez.. Na hautapendeza hizo nyusi nene nene..
 
Last edited by a moderator:
Kongosho unataka ukatinde nyusi za wapi kwani.

Last edited by a moderator:
Yeyote anatinda, ila lazima wakubaliane mipaka ya kijografia ya kuzingatia

Kwani mtindaji na mtindwaji wanapotindana hutindana kwa vigezo vya lazima wawe wa jinsia moja , ndiyo watindane?
Eti Kongosho?
 
Kwa style ya jicho langu napendeza nene
Nyembamba kama huyu sipendi kabisa, kila siku utaonekana unashangaa

Ushauri wangu.. Kwa hiyo style ya picha unayotaka hapo angalia jicho lako na space kati ya nyusi na jicho..kama space ni kubwa hiyo style itakubali kama ni ndogo haiwez.. Na hautapendeza hizo nyusi nene nene..
 
Kutinda na uzi ni bora inauma mara ya kwanza then unazoea. Ukitinda na uzi zinachelewa kuota hata zikiota zinaota kistaarabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…