Kutengeza mkanda wa Monitor

Kutengeza mkanda wa Monitor

colence john

New Member
Joined
Feb 5, 2016
Posts
4
Reaction score
3
Habari wakuu,

Mimi ni fundi ninayeanza(beginner) wa vifaa mbalmbal vya umeme hususa Ni cm sasa nimekutana na changamoto wakat nafungua monitor iliyoingiliwa maji ghafla ile mikanda inayoshika kioo ikaachia nilipowasiliana na fundi mwenzang akaniambia ile mikanda inagundishwa kwa kutumia gundi maalum ambayo hata upatikanaji wake sio mwepec sasa najua kwa ishu ya wayeknolojia walio humu wanaweza kupatkana wenye experience na vitu hvo tushee idea
 
Back
Top Bottom