Kutengenezewa software ya kusimamia shule(school management software)

Tumpara Dudu

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2016
Posts
660
Reaction score
600
Wakubwa shkamooni,wadogo marahaba,warika langu,zamda huu?

Kama heading ijielezavyo hapo juu. Ikiwa ww ni mtaalam wa computer science na unaweza ku creat software itakayoniwezesha kudhibiti mapato yote ya shule kimahesabu ya comp na kujuwa kiingiacho na kitokacho hata kama nikiwa barabarani na smartphon yang au laptop yangu,kufuwa maendeleo ya wanafunz,kujuwa uwajibikaji wa walimu na staff wengine ktk kazi, pia iwe software ambayo mtu yeyote anaweza kuwa na access nayo kwa shart la ku creat acount na kuwa na pswd maalum but awe na mipaka(asiweze kufuta mahesabu bila ya aproval yang) NJOO HAPA TUJADILIANE NAMNA YA KUFANYA KAZI
 
Mkuu hii software ninayo ni web based app nicheki whatsapp nikutumie details uiangalie Kwanzaa
+255 759 702 766
 
Wakubwa shkamooni,wadogo marahaba,warika langu,zamda huu?

Kama heading ijielezavyo hapo juu. Ikiwa ww ni mtaalam wa computer science na unaweza ku creat software itakayoniwezesha kudhibiti mapato yote ya shule kimahesabu ya comp na kujuwa kiingiacho na kitokacho hata kama nikiwa barabarani na smartphon yang au laptop yangu,kufuwa maendeleo ya wanafunz,kujuwa uwajibikaji wa walimu na staff wengine ktk kazi, pia iwe software ambayo mtu yeyote anaweza kuwa na access nayo kwa shart la ku creat acount na kuwa na pswd maalum but awe na mipaka(asiweze kufuta mahesabu bila ya aproval yang) NJOO HAPA TUJADILIANE NAMNA YA KUFANYA KAZI
eSchool - Huu ni mfumo rahisi sana wa uendeshaji wa shule katika nyanja zote ikiwemo kutoa taarifa za kifedha, matokeo na maendeleo ya wanafunzi kwa wazazi bila kufika shuleni. Kwa maelezo na kupata Demo link Piga simu: 0752091896 au 0712717469
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom