Ni vyema ungeeleza background yako,
Programming Language zipi unafahamu.. hapo inakuwa rahisi kujua tuanzie wapi.
Kama unafahamu javascript vizuri, unaweza kufanya kwa kutumia react- native, au ukasoma kidogo flutter ukafanya kazi... au unaweza kuandika kwa Java kama unaifahamu.