HD ikiwa inaunguruma au inatoa clicking sound basi hiyo ni physical issue na internals za HD. Kuiokoa ni gharama sana maana inabidi ifunguliwe kisha zitafutwe identical parts na kisha zibadilishwe vitu vyote hivyo vinahitaji utaalamu wa hali ya juu kidogo.
Pia kuna njia za kienyeji za kujaribu kuifufua kama kuiweka kwenye freezer usiku mzima au kuipiga piga, ila hizi ni za kujaribu ikishindikana kabisa maana unaweza kuleta uharibifu zaidi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.