Habari wakuu
Kama kichwa cha habari hapo, ni njia gani inahitajika kuweka App kwenye play store na AppStore ili mtu aweze kuidowload kama anahitaji, naamini hata Adimins anaweza kunisaidia
Play store ni dola 25 one time, App store dola 99 kwa mwaka. Of coz inabidi utengeneze au utengenezewe App ya Android for Play store au iOS for App Store hizi ni App mbili tofauti hata kama zinafanya kile kile.