Wakuu salama, kuna gari aina ya mazda tribute, inazingua kuwaka kwa muda sasa fundi anasema inekufa ignation coil . Amejaribu kibadilisha lakini bado. Msaada wadau