Mimi ni mmoja wa watu wanaotaka kugombea ubunge kwa tiketi ya chadema, napenda kujua kama kuna ulazima wowote wa kutangaza nia mapema na kama ulazima huo upo, naomba kwa anayejua taratibu za kutangaza nia anisaidie ni taratibu zipi natakiwa kuzifuata. Asanteni
Nakushauri usome katiba ya chama inasemaje au nenda office ya kanda sehemu ulipo.. Chadema KwanzaMimi ni mmoja wa watu wanaotaka kugombea ubunge kwa tiketi ya chadema, napenda kujua kama kuna ulazima wowote wa kutangaza nia mapema na kama ulazima huo upo, naomba kwa anayejua taratibu za kutangaza nia anisaidie ni taratibu zipi natakiwa kuzifuata. Asanteni
asante mkuu.... Ni rahis mkuu, mda ukifika wewe chukua tu fomu ujaze upite kwenye mchujo. Kwasasa jenga jina kwanza kwa kuhamasisha wananchi na kushirikiana nao kwenye shuguri za maendeleo..!
huwezi ukawa umeshiriki kukijenga chama alafu hujui utaratibu wa cham kuhusu wagombea!!! Acha
masihala maana chama ulichokitaja ni kikubwa mno na kina heshima yake nilitarajia uulize utaratibu huu labda kwa act tanzania
we wasema
taratibu jamaniKagombee kupitia ACT magamba