Kutana na Profesa wa hesabu, kijana mdogo kabisa!

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Aug 28, 2016
8,660
15,744
Kiongozi naomba unitumie hicho kitabu.kwa PDF
 
Aah, huyu kapewa uprofessa wa heshima. Sidhani kama na Masters au PhD... Huyu uprof wake ni kama wa Jakaya tu!
Huyu dogo kapiga kitabu....hebu soma profile yake yote kwanza, usiwe na haraka. Ni professor wa uhakika, a material scientist. Uzunguni hawagawi uprofesa kama njugu...Bongo tu ndio wanafanya hivyo.
 
Huyu angekuja darasani kwangu miaka hiyo tungemuabudu mama yangu darasa lilikuwa kichwa maji la hesabu mpaka noma kugonga bashite ilikua siiiimpleeew
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…