Kutana na Hawa vijana wa Uganda wanaotengeneza baiskeli Kali kwa bamboo

Waswahili tuna shida sana.

Mtu kawekewa link lakini hapohapo anaomba awekewe picha.

Si uuuu-utopolo huu?
Wengine wapo kwa hisani ya freebasic.com,hivyo no vyema angeweka na picha .
 
Huu ndio ubunifu sasa sio bunifu ambazo zinafanyika Bongo ambazo zipo miaka 50 nyuma. Yes tumia simple materials ila iwe bora kuliko ya sasa sio vinginevyo
 
Kimsingi bamboo ni ngumu na very hard... Kuna maeneo zinatumika kama mbadala wa nondo kwenye zege... Bamboo zinaaminika kuwa imara sana....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…