aaah!!
mi nadhani huyo rafiki yako amekosea sana!
waliogombana ni wao lakini wale "rafiki wawili" (jogoo na mtetea) hawajagombana wanatakiwa waendelee kusalimiana!!
Kusema ukweli kaka sikuuliza chanzo cha ugomvi wa juzi mie nilichouliza ni kwa nini kapigwa lol si unajua mie nlishaathirika na hawa wadudu so nikisikia ugomvi basi nafanya reference lol.... sifai kuwa hakimu!
Ila Zamaulid kaniambia eti mkigombana nyie wale marafiki wawili hawagombani yaani hapa kaniacha hoi asa huyu mwangu mie akija....... ntaweza kwelimpokea? kama hataambulia mateke lol
Wameoana au ni marafiki tu? Hivi hawajaoana hiyo jeuri ya kuanza kumpiga dada wa watu wakati kila mtu anaishi kivyake kaitoa wapi? Nahisi huyu dada amemfia sana jamaa na ndo maana jamaa anaweza kumpiga akiwa nyumbani kwake na mdada akavumilia, yaani ingekuwa ni mimi yuko kwangu halafu ananipiga break ya kwanza ingekuwa ni polisi,halafu suluhu zingine zingefanyika baadae.
Edson wanaume wengi tu ambao huwa wanaona solution ya ugomvi ni sex, na huyo mwanamke nampongeza sana coz kama mwanaume rijali humaliza matatizo ya mahusiano out of bed na sio kupitia sex. huyo mwanaume yuko weak na inawezekana kabisa hilo walilogombea ni kosa lake so anaona tabu kusema sorry ili maisha yaendelee anaua sooo kwa kupitia sex.no huyo dada kakudanganya kitu flani,
kwa siku mbili wamegombana, wakachuniana maana yake walikuwa hawaongei hawa kila mmoja akawa na 50 zake.
then jamaa aje moja kwa moja na kuanza ''kudai tunda la uhuru'' si kweli,
muulize kisa cha ugomvi kilikua nini mpaka wachuniane?
Kumbe umepitia mambo yetu ya karate na kungfu lol!
Hiyo ni ngumu kuunganisha vidude kama mna kaugomvi!
Edson wanaume wengi tu ambao huwa wanaona solution ya ugomvi ni sex, na huyo mwanamke nampongeza sana coz kama mwanaume rijali humaliza matatizo ya mahusiano out of bed na sio kupitia sex. huyo mwanaume yuko weak na inawezekana kabisa hilo walilogombea ni kosa lake so anaona tabu kusema sorry ili maisha yaendelee anaua sooo kwa kupitia sex.
kuhusu kusuluhisha baina ya wapenzi shost sio rahisi, siku zote wagombanao ndio wapatanao mwisho wa siku na hata kama hawatopatana ni wao watakaomua hatma ya mapenzi yao. ALL OTHERS CAN DO NI KUTOA USHAURI TU.
my mother told me once kwenye maisha usije hata siku moja kuingilia ugomvi wa wanaojifunika shuka moja.coz ukiingilia utaishia kuonekana wewe mmbaya wao wanaendelea na mapenzi yao kisha sura ikushuke.
yes MwanaJ kuna wanaume wengine wamekuwa rised kwenye familia zenye mfumo dume yaani watoto wa kiume hawakosei na watoto wakike wanaonekana ni hasara tu, so usimtegemee huyu anayekuwa akijua mwanamke ni kiumbe dhalili akajishusha na kumuomba msamaha hata kama atamkosea na hilo shost halitegemei mwanaume kasoma au hajasoma wapo wengi tuu skazi hata humu ndani ya forum wapo. Never say sorry tena utakuta wengine yakikaa huko bar or makazini yanajisifu utaombaje msamaha mwanamke bwanaa huko ni kujidhalilisha,nawaona humu makazini wamejaa tele........... Kuna ukweli eeh dada?
kuua soo mzee anadandia tu treni usiku hata am sorry inamshinda!!
yes MwanaJ kuna wanaume wengine wamekuwa rised kwenye familia zenye mfumo dume yaani watoto wa kiume hawakosei na watoto wakike wanaonekana ni hasara tu, so usimtegemee huyu anayekuwa akijua mwanamke ni kiumbe dhalili akajishusha na kumuomba msamaha hata kama atamkosea na hilo shost halitegemei mwanaume kasoma au hajasoma wapo wengi tuu skazi hata humu ndani ya forum wapo. Never say sorry tena utakuta wengine yakikaa huko bar or makazini yanajisifu utaombaje msamaha mwanamke bwanaa huko ni kujidhalilisha,nawaona humu makazini wamejaa tele
Aiiih....................umeguswa?π
Eh zamaulid
Kwa hiyo ah hata sijui niulizeje ... kwa hiyo its possible kutenganisha hivi vitu viwili!! Aksante
Wenzetu wanawake wako tofauti na wanaume. Wanaume hata kunapokuwa na ugomvi kati ya wapenzi (BF na GF au mke na mume) Wanaume wanaweza kabisa kuuweka ugomvi pembeni na kufanya mapenzi bila tatizo lolote.
Wanawake ni tofauti, wanapokuwa wameudhiwa wengi wao inakuwa ni vigumu mno kufanya mapenzi huku wakiwa na hasira. Kwa hiyo kwa wenzetu ni muhimu kuwepo kwa amani na furaha ndani ya mioyo yao ili kulifanya tendo la ndoa kwa furaha.
Kwa maoni yangu huyo dada ana haki kabisa ya kuzikatalia nyeti zake na kulikuwa hakuna sababu yoyote ya kupigwa au kutuhumiwa kwamba kamnyima kwa sababu ana jamaa mwingine anaenjoy huo uroda wake.
Eh zamaulid
Kwa hiyo ah hata sijui niulizeje ... kwa hiyo its possible kutenganisha hivi vitu viwili!! Aksante
inategemea na utofauti uliopo, kuna mwingine huwezi kabisa kufanya hicho kitendo mpaka muweke mambo sawa.
...mnh, hiyo nongwa sasa! hakumsikia kasisi akisema "...for better and for worse..." ???
Na ukilazimisha ujue wewe ni mbakaji !!!!!!!!inategemea na utofauti uliopo, kuna mwingine huwezi kabisa kufanya hicho kitendo mpaka muweke mambo sawa.