NIMPENDENANI
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 6,114
- 5,398
mmmmm shida ipo tena kubwa, nimesamehe na pesa,nakusukwa ndio basi ntabakia na nywele zangu hizi hizi.....kama hayo "madudu" yanakugusa tu lkn hayakung'ati rudi ukamalizie kusukwa coz mimi siona kama kunashida yoyote...
Hahahaaa nimecheka sana mkuu...kama hayo "madudu" yanakugusa tu lkn hayakung'ati rudi ukamalizie kusukwa coz mimi siona kama kunashida yoyote...
Mbavu zangu jaman hahaha...kama hayo "madudu" yanakugusa tu lkn hayakung'ati rudi ukamalizie kusukwa coz mimi siona kama kunashida yoyote...
Dar Kituo cha Amana kuna sehemu wanakua wamasai tele wanasuka...Wapi hiyo?
Yani nilikua naona dhiki nafsi yangu nilitamani kulia na ile harufu,halafu wanasema kikwao sifahamuduh ata mi nisinge himili ile harufu huwaga wawili au 3 sas we 5 duh, alaf hayo madudu yao si unawaambia ukwel tu wayabane yanakuboa??? kuw wazi,.
mmmm shosti Aibu naanzaje kusema maneno hayo? kua madudu yenu yafungeni,tena yanagusaaa marefuuuuuu ptuuuuu!!!duh ata mi nisinge himili ile harufu huwaga wawili au 3 sas we 5 duh, alaf hayo madudu yao si unawaambia ukwel tu wayabane yanakuboa??? kuw wazi,.
So, kumbe masai jaliwa madudu eeh???mmmm shosti Aibu naanzaje kusema maneno hayo? kua madudu yenu yafungeni,tena yanagusaaa marefuuuuuu ptuuuuu!!!
staki hata kukumbuka..
Wewe ungeweza kuwaambia wayafunge? Basi hekima huna aisee lolduh ata mi nisinge himili ile harufu huwaga wawili au 3 sas we 5 duh, alaf hayo madudu yao si unawaambia ukwel tu wayabane yanakuboa??? kuw wazi,.
Ungewapulizia manukato tu ukaendelea kusukaHabari Wana MMU,
Naomba kuuliza Wanawake wenzangu,
Nilimuona Shogangu kasuka zile nywele za kimasai nikazipenda sanaa
sasa nikasema niende na kwakweli sijasuka nna miaka kama 10 sababu mr Hataki
This time nikamuomba akakubali baada ya miaka 10 ilikua kama bahati..
Kwakua nyewele zangu ndefu sikuhitaji rasta zakuongezea,haya shosti akanipitia
J"pili tukaenda kufika macho yakanitoka kumbe wasusi wanaume wa kimasai
nikamuliza mbona wanaume kasema ndio wanaojua wacha ushamba wako
haya akaongea nao nikaanza kusukwa mmmmm wamenizunguka Wamasai wa 5
sasa ule mkao wao yani wanakugusa na madudu yao huyu na wako busy kuongea kikwao
sielewi wanasema nini,shoga nae hayupo,mbaya zaid vikoi vyao vinanuka hatari,
nilistahmili kama nusu saa cm yangu ilipoita nikawambi waniache, nilipomaliza cm nikawambia
ntarudi baadae nikatoa elfu 20 nikasema nakuja waendele na mteja mwengine mpaka nikirejea
sikurejea tenaa...
Sasa niulize wadada mnaosuka ivi hii imenitokea mimi tuu au hawa wamasai ndio TABIA YAO?
watajua wenyewe na balaa lao hawana hata haya, wanaume wazima waso vaa suruali kama wenzao wanaume wa DAR,wao vikoi vikoi na wao...So, kumbe masai jaliwa madudu eeh???
mmmmmm pale hata uwaogeshe Al Oud wale bado wananuka tuu,halafu harufi yao iko very strange ,kama mtindi si mtindi,mafusho si mafusho,mvuje si mvuje,yani haielewekiii,...Ungewapulizia manukato tu ukaendelea kusuka
Pole kwa usumbufu,watajua wenyewe na balaa lao hawana hata haya, wanaume wazima waso vaa suruali kama wenzao wanaume wa DAR,wao vikoi vikoi na wao...
harufu ningestahmili sababau wao nibinadamu lakini yale madudu kunigusa gusa mie mmmmm,halafu sasa ukisogea hukuKilichokusumbua ni hayo 'madudu' ama ni ile harufu mbaya?