Chuo gani huko Nje ada ni chini ya USD 1000? Hizo si ada za hapa hapa Afrika au Asia?Nimewah kwenda na global kila kitu wanakufanyia na shule utaend tatzo litakuja utakuta global umelipa usd 5000 unafika chuo ada aizidi 1000usd
Lakini kwingine awana longolongo
Vipo usikariri vyuo bei sema tu ningekupa full details but hapanaChuo gani huko Nje ada ni chini ya USD 1000? Hizo si ada za hapa hapa Afrika au Asia?
Tatizo visa izi kampun zina connection so visa inakuwa easily approved than rejectedJamani mambo mengine ni uzembe yani chuo kama unaenda kujipia si ufanye hizo process's mwenyewe.
Nataka kwenda india,naona ndio vyuo bei angalau affordable kwangu kwa mujibu wa matangazo ya hao agent'sUnataka kwenda nchi gani?
Nchi gani ulienda mkuu...Nimewah kwenda na global kila kitu wanakufanyia na shule utaend tatzo litakuja utakuta global umelipa usd 5000 unafika chuo ada aizidi 1000usd
Lakini kwingine awana longolongo
India Kuna vyuo vingi sana vya mchongo. Hao madalali watakuuza muda si mrefuNataka kwenda india,naona ndio vyuo bei angalau affordable kwangu kwa mujibu wa matangazo ya hao agent's
Mbona hao agents wanakuombea kibali TCU kabisaIndia Kuna vyuo vingi sana vya mchongo. Hao madalali watakuuza muda si mrefu
Issue siyo vibali TCU. Vyuo vingi vya nje vyenye madalali wa kuwatafutia wanafunzi nje ya nchi viko kibiashara zaidi.Mbona hao agents wanakuombea kibali TCU kabisa
Lakini kama unapata kibali kutoka TCU Nadhan sio issue...Issue siyo vibali TCU. Vyuo vingi vya nje vyenye madalali wa kuwatafutia wanafunzi nje ya nchi viko kibiashara zaidi.
Wala sio matapeli.Kwanza ujue mtoto wako.anataka kusoma nini ,budget yako then unaenda kwa agent .Mimi nilitumia global link education, nakushauri kama ni Mara ya kwanza tumia agent,mimi wakwanza nilifanya.hivyo ila waliofuata huyo wakwanza ndio alimsaidia process mwenzake na.anasoma Sasa.Muhimu Ana credit zinazotakiwa,anaruhusa au Kibali kutoka TCU yaani letter of no objection pia unaweza ku apply TCU hiyo barua unalipia 50,000 tu baada ya wiki mbili unapata hiyo barua kama chuo kinatambulikana.Pia kila mwaka TCU hufanya maonyesho pale mnazi mmoja na vyuo Vingi vya ndani na nje hushiriki so ningekushauri uende maonyesho.ya mwaka.huuKuna taasisi nyingi hivi sasa ni agents wa vyuo vikuu nje ya nchi,kama kuna mtu mwenye ushuhuda kuhusu ukweli wao kama sio matapeli naomba anifahamishe kabla sijafanya maamuzi,,,hususan TASSAA na hawa global
Kama kuna mzazi au mtu yeyote amesoma au kumpeleka kijana wake kupitia taasisi hizi kozi ya optometry ,radiology au anaesthesia naomba anifahamishe maana ndio nataka kwenda kusoma kati ya hizo
Shukran.
Ushauri mzuri chief......Wala sio matapeli.Kwanza ujue mtoto wako.anataka kusoma nini ,budget yako then unaenda kwa agent .Mimi nilitumia global link education, nakushauri kama ni Mara ya kwanza tumia agent,mimi wakwanza nilifanya.hivyo ila waliofuata huyo wakwanza ndio alimsaidia process mwenzake na.anasoma Sasa.Muhimu Ana credit zinazotakiwa,anaruhusa au Kibali kutoka TCU yaani letter of no objection pia unaweza ku apply TCU hiyo barua unalipia 50,000 tu baada ya wiki mbili unapata hiyo barua kama chuo kinatambulikana.Pia kila mwaka TCU hufanya maonyesho pale mnazi mmoja na vyuo Vingi vya ndani na nje hushiriki so ningekushauri uende maonyesho.ya mwaka.huu
Mkuu, naweza kuj Inbox?Nimewah kwenda na global kila kitu wanakufanyia na shule utaend tatzo litakuja utakuta global umelipa usd 5000 unafika chuo ada aizidi 1000usd
Lakini kwingine awana longolongo
Nataka kwenda uganda nikasome Master ya LinguisticsUnataka kwenda nchi gani?