Kusoma masters ya education

Pôle sana mtoa mada. Tanzania elimu ni kama vita, watu tunawekeana vikwazo vyuoni badala ya kusaidiana mtu afike juu.
Kama unaweza kusoma vyuo vya nje ni vizuri zaidi.
Watu wa Asia na wazungu naona hawana Uswahili wa kurudishana nyuma kama Watanzania wenzetu.
 
Kusoma masters minimum GPA ni 2.7 /5 scale hivo alternative yake inatakiwa ufanye postgraduate diploma of education mwaka mmoja ndio usome masters of education.
Hivo ndivo ninavofahamu mimi.
 

Its very true mkuu

Watu wamekomalia kujiajiri wakat wanadamu wengine wanapenda kusoma out of money

Ndo mana waafrica tunabak na umaskin wa fikra mana ya kutopenda kusoma ata vitabu.

Nalog off
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…