Kijana ushe2
Senior Member
- Apr 6, 2017
- 178
- 127
Achana na hayo ma master's mkuu fanya mambo mengineNinaomba kujuzwa je GPA 2.6unaweza soma master ya education either kupitia Open university au kupitia vyuo vya kawaida
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka kupewa uafisa Elimu. 2.6 hiyo ni GPA ya ngapi. Cumulative ina GPA ya 4 au 5. Kama cumulative ni GPA ya 4 sio mbaya unaweza ukiapply chuo chochote Tz utapewaNinaomba kujuzwa je GPA 2.6unaweza soma master ya education either kupitia Open university au kupitia vyuo vya kawaida
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka kupewa uafisa Elimu. 2.6 hiyo ni GPA ya ngapi. Cumulative ina GPA ya 4 au 5. Kama cumulative ni GPA ya 4 sio mbaya unaweza ukiapply chuo chochote Tz utapewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana watanzania ni watu wa ajabu. Jibu ulichoulizwa. Afanye mingine yapi? Kama ameishayafanya amebakiza kusoma tu?
Yaani hii Tanzania ni shida mm naulizia kitu klicho mbele yanguNdio maana watanzania ni watu wa ajabu. Jibu ulichoulizwa. Afanye mingine yapi? Kama ameishayafanya amebakiza kusoma tu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani hii Tanzania ni shida mm naulizia kitu klicho mbele yangu
wewe unashangaashangaa eti niache kusoma master's wewe toa ushauri
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana watanzania ni watu wa ajabu. Jibu ulichoulizwa. Afanye mingine yapi? Kama ameishayafanya amebakiza kusoma tu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unasoma baadhi ya vyuo sio vyote! Ulikua unafanya nn hiyo degree ya kwanza mpaka ugonge gentleman pia sikushauri kufanya uzamili katika elimu mana haitambuliki ila kama unatarget na kuna mjomba mbele piga tuu! Ila kwasasa Elimu sio mkombozi wetuNinaomba kujuzwa je GPA 2.6unaweza soma master ya education either kupitia Open university au kupitia vyuo vya kawaida
Sent using Jamii Forums mobile app
Fafanua kidogo hapa mzee mwenzangu ili nikupate sawasawa maana nilihitaji nisome hiyo kituUnasoma baadhi ya vyuo sio vyote! Ulikua unafanya nn hiyo degree ya kwanza mpaka ugonge gentleman pia sikushauri kufanya uzamili katika elimu mana haitambuliki ila kama unatarget na kuna mjomba mbele piga tuu! Ila kwasasa Elimu sio mkombozi wetu
Vyuo vya SERIKALI mkuu na tango ngumu mzee2.6 ulikua unafanya nini chuo?
Ni kweli mkuu but master ya education!?....Kweli kupanga ni kuchagua.USIMKATISHE MTU TAMAA COZ SIO LAZIMA WOTE TUFANYE KITU KIMOJA WALA TUWE LEVEL MOJA AU WOTE TUFANYE BIASHARA,,, KILA FANI AU KAZ INATEGEMEANA SO NI UAMUZI BORA TU
Ni kweli mkuu but master ya education!?....Kweli kupanga ni kuchagua.