kusoma degree nyingine

LDA COMPANY

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
340
Reaction score
633
Habari wandugu

Nilikuwa nauliza ushauri wenu juu ya kusoma degree nyingine baada ya kumaliza chuo. Mimi nna degree ya accounting kwa sasa. Nilikuwa nawaza nirudi chuo kusoma degree ya economics. Je mnanishaurije.

Nb. Umri 26 years
Jinsia kiume

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwangu mimi ni tick japo mbona zinafanana kiasi fulani, elimu ya sasa ni horizontal ndio inayolipa, trust me. vertical has failed a lot unaona PhD holder anavyolia mtaani kisa katumbuliwa uRC kule Morogoro, Unaona kina Katibu? Unaona na chama cha mabao Raisi wake?

Soma horizontal ila ziwe sio za kufanana maana utaishia kuwa kama umesoma kitu kimoja
 
Sawa kiongozi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…