tundu007 JF-Expert Member Joined Sep 29, 2016 Posts 260 Reaction score 136 Nov 28, 2017 #1 habary zenu mabibi na mabwana!! kuna taarifa zinazagaa eti hakutakua na mauzo ya luku kwa muda wa siku tatu!nimeleta kwenu ili tujuzane kama ni oficial hizi taarifa au ndo upepo tu unapita!!nawasilisha!!.
habary zenu mabibi na mabwana!! kuna taarifa zinazagaa eti hakutakua na mauzo ya luku kwa muda wa siku tatu!nimeleta kwenu ili tujuzane kama ni oficial hizi taarifa au ndo upepo tu unapita!!nawasilisha!!.
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,765 Reaction score 126,676 Nov 28, 2017 #2 Tanesco wamesema huduma zitaendelea kama kawaida. Labda haitauzwa duka lililokaribu na wewe
The Mack JF-Expert Member Joined May 25, 2017 Posts 239 Reaction score 247 Nov 28, 2017 #3 Sio Official Mkuu
Docteur JF-Expert Member Joined Oct 5, 2012 Posts 240 Reaction score 233 Nov 28, 2017 #4 Mwifwa said: Tanesco wamesema huduma zitaendelea kama kawaida. Labda haitauzwa duka lililokaribu na wewe Click to expand... [emoji1] [emoji1] Haya mashirika yetu ya Uma si yakujiaminisha namna hiyo... Ni Vema kuwa na Taadhari..
Mwifwa said: Tanesco wamesema huduma zitaendelea kama kawaida. Labda haitauzwa duka lililokaribu na wewe Click to expand... [emoji1] [emoji1] Haya mashirika yetu ya Uma si yakujiaminisha namna hiyo... Ni Vema kuwa na Taadhari..