Kusinga Bwana

SWEET RIZIKI

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2017
Posts
288
Reaction score
388
Habari wanawake wote mlio katika ndoa na hongera zenu kuolewa.

Leo naomba tukumbushane kitu kingine tulichofundishwa kule Mkoleni tena kwa Vitendo kungwi alionesha huku akiimba jinsi ya Kusinga (Massage) Mume. Pia kwenye Kitchen party nako tulifundishwa lakini inaonekana wengi tumejisahaulisha na Wanaume wengi huenda kufanyiwa Massage kwenye Majumba maalumu tena na Vibinti vidogo vidogo tu .

Jamani wamawake tutenge muda wa kuhudumia ndoa zetu PESA hazijai vinginevyo tutaendelea kulia na kujaza makanisa na vizinga vya waganga kutafuta mchawi wakati Uvivu wetu ndiyo mchawi wetu



Shime Kina mama na kina Dada tulinde ndoa zetu na tuwape Raha wapendwa wetu nyumani kuwe ndiyo kimbilio lake kila kitu kizuri spate hapo



Jamani raha eee mwanamke kujituma bhana huku Mzee akigugumia kwa utamu hats kama joto Kali lazima kitaeleweka tu



Unasubiri nini sasa Jumapili hii , nenda katafute Mafuta ya Nazi au ya Mzaituni ( Olive Oil) ujipe room work yako kwa mahaba mahabati kama hutapewa kile ulichokuwa ukitaka jibu likawa sina Hela.

Wanaume nanyi tupeni raha pia msijikaushe kaushe tu kujifanya makauzu haaaa



Mmm si waona mpe Raha za Dunia Wife babu wee mwana kwetu mlifundishwa na nyie



Wapendwa Weekend njema, pata raha za Ndoa. Ndoa ni Furaha na Upendo, Tuombeane Amani ya ndoa Kutoka kwa Mwenyezi Mungu. Amina.
 
Aisee naunga mkono hoja kwa mikono miwili,tujitahidi kusingana kwa weledi.
 
Mumy hakuna anayejua kusinga na akawa hapendi kumsinga ampendaye shida inakuja kuwa kwa wanandoa walio wengi wako busy kutafuta pesa ndio maana na wakirudi wako hoi na mihangaiko hivyo wanaishia kulala na kuwaza siku mpya.

Ila inapotokea kanafasi huwa yanafanyika hayo.

Hao wenye kwenda kwenye hivyo vijumba maalum huenda ikawa walio nao hawajui namna ya huko kusinga.
 
Aisee ngoja nikasingwe kwa mchepuko nipate burudani
 
Raha wote wawe wanasingana......kwanini afanyiwe mwanaume tu
 
Kuna wanawake wanajua kusinga hadi shahawa zinamwagika bila kuguswa ub.oo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…