Heaven Ambassador
Member
- Oct 27, 2017
- 91
- 94
Nina mdogo wangu alichaguliwa chuo Fulani degree na mkopo alipata, kutokana na Ada ya chuo kuwa kubwa na pia kozi hakuipenda aliamua kwenda kusoma nursing chuo cha serikali ngazi ya certificate na diploma. Atawezaje Kusimamisha mkopo ili atakapo taka kusoma degree baada ya kumaliza diploma asisumbuke.