Kusikiliza radio kwenye Computer

Kusikiliza radio kwenye Computer

Towned

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2018
Posts
226
Reaction score
300
Habari wakuu!

Naomba kuelekezwa namna ya kusikiliza radio stations mbalimbali za Tanzania online kwa kutumia website au software.

Pia naomba kujua kama kuna computer software inayowezesha kusikiliza radio offline?

Asante
 
Kama ikiwa Computer na redio vinahitilafiana inabidi ujiulize kwanza kama kweli ni lazima kua na offline redio katika pc?

Njia zipo nyingi ila shortcut tafuta hela kanunue USB FM Receiver.

31%2BR3I18vfL.jpeg
 
Kama ikiwa Computer na redio vinahitilafiana inabidi ujiulize kwanza kama kweli ni lazima kua na offline redio katika pc?

Njia zipo nyingi ila shortcut tafuta hela kanunue USB FM Receiver.

View attachment 1220415
hizi computer zina usb port 3 tu

hapo hujachomeka moderm

hujachomeka output speaker

hujachomeka external

Hujachomeka simu kula tethering

Ebu watusaidie computer zinazokuja BONGO ziwe hata atleast minimum usb port 20 hivi

itapendeza
 
hizi computer zina usb port 3 tu

hapo hujachomeka moderm

hujachomeka output speaker

hujachomeka external

Hujachomeka simu kula tethering

Ebu watusaidie computer zinazokuja BONGO ziwe hata atleast minimum usb port 20 hivi

itapendeza

Habari wakuu!

Naomba kuelekezwa namna ya kusikiliza radio stations mbalimbali za Tanzania online kwa kutumia website au software.

Pia naomba kujua kama kuna computer software inayowezesha kusikiliza radio offline?

Asante
 
Mimi huwa natumia hii link kusikiliza redio
Tuning yake unapeleka hadi kwenye mkoa au eneo unalotaka kusikiliza redio zake
Nyie ndgu zangu mnaosikiliza radio

ni kwa hizi mb 70 za tigo au mnatumia nini ku sikilizia hizo radio Online

Mi mbona nikigusa tu hiyo link msg inaingia

"umetumia 99% ya bando lako la internet"

Nahairisha na hata sjaskia radio yoyote
 
Situmii mb za tigo ndugu
 
Kuna namna ya kuongeza usb ports kwakutumia external device.

pia hiyo device
Hiyo inafanya kazi kwakutumia software yake ndani ya pc yako ili uweze kusearch, kusave, kurecord vipindi katika redio utakayokua unaisikiliza.
hizi computer zina usb port 3 tu

hapo hujachomeka moderm

hujachomeka output speaker

hujachomeka external

Hujachomeka simu kula tethering

Ebu watusaidie computer zinazokuja BONGO ziwe hata atleast minimum usb port 20 hivi

itapendeza
 
Uzi unahusu kusikiliza redio kwenye PC bila kuwa na internet yaani Offline. It means ukiwa dar uzipate zinazopatikana dar kama ilivyo redio yako ya kawaida tuu. Hizo link ni online redios. Bandle lazima litumike.
kama ni hivyo itabidi nikubali kukosa radio

hizi iga iga hizi zitanfilisi
 
Kuna mwaka nilikuwa nafanya field kwenye kituo kimoja cha radio, nakumbuka tulikuwa tunasikiliza (redio yetu) kupitia computer bila kutumia data.
Sikuwa makini kuchunguza hilo na sijui walifanyaje. Sijui inawezekana kwa kituo kimoja tu au vyote! Sijui!
 
Nunua mult USB

Back
Top Bottom