Kusheki kwa wanawake

kachui

Member
Joined
Apr 10, 2015
Posts
64
Reaction score
3
Kumekuwa na tatizo katika while ninayosoma madada wengi sana wanasheki(wanatembea wanatikisa miguu kama mlevi) ni kitu gani kinachosababisha.

Naomba kujulishwa
 
nitatizo ambalo limekumba shule yetu ,madada hapa kwetu wamatembea kama walevi sijui nn kwa wanawake hili tatizo .msaada kwenu wakuu
 
Ili watamaniwe na ndo chanzo cha kujibinua kama "Cabin ya fuso ikiwa inafungwa engene"
 
umeripoti kwa mwalimu wako au umekimbilia jf ?
 
Nahisi hujui kiswahili wala kiingereza.
Hebu rudi uelezee vizuri!
 
Inaitwa Hysteria. Inawakumba wakaka wa umri wa kubarehe na wadada wa umri wa kuvunja ungo. Hatari huwa kubwa hata wengine kuzimia sometimes kama hawachanganywi maramojamoja wavulana na wasichana kwenye matukio kama sherehe zenye muziki na michezo.
Shule za boarding za wasichana tupu au wavulana tupu mara nyingi ni wahanga wa hili tatizo. Wakati mwingine hata mwanamke mkubwa asiyekuwa na mwanamme kwa muda mrefu humtokea hili.
 
Kumekuwa na tatizo katika while ninayosoma madada wengi sana wanasheki(wanatembea wanatikisa miguu kama mlevi) ni kitu gani kinachosababisha.

Naomba kujulishwa

ha! ha! ha!
 

Kuna wengine wanaishi karibu sana na wanaume lakini wanashake. Mi naona girls waliozoea ngono halafu ikatokea ndio wako kwenye mazingira ambayo hawawezi kufanya hiyo kitu wakani anatamani ndio hiyo hali inamkuta. Hii sio real hysteria.
 
nitatizo ambalo limekumba shule yetu ,madada hapa kwetu wamatembea kama walevi sijui nn kwa wanawake hili tatizo .msaada kwenu wakuu

waache tu watapona wenyewe japo bahati mbaya sana huwa ikimtokea mmoja basi lazima na wengine kadhaa wafuate. Bado sijui hii ni kwa nini japo inahusiana sana na hisia za kimapenzi.
 
Hzo mambo zipogo haswaa vyuonii..wanakua wanatembea kama wanafanya catwalk!! Swaga swaga on point!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…